๐Ÿ“ž +255 763 001 096 / +255 716 702 131
SW EN
HBS MICROFINANCE LIMITED
โšก HARAKA ยท NAFUU ยท KUAMINIKA

Pata Mkopo
Wako Leo.

Mikopo midogo na ya haraka kwa wafanyabiashara wadogo na dharura za kijamii. Jisajili kwa dakika 5, pata uamuzi siku hiyo hiyo.

โœ“Hakuna ada ya kujisajili โœ“Riba ya haki โœ“Uamuzi haraka
๐Ÿ“Š KIKOKOTOO CHA MKOPO
Kikokotoo cha Mkopo
Marejesho kwa mwezi
Tsh 175,000
Jumla ya marejesho
Tsh 525,000
Omba Mkopo

Mfano tu ยท Riba halisi inategemea bidhaa

10,000+
Wateja waliosajiliwa
Tsh 4.2B
Mikopo iliyotolewa
24h
Wakati wa uamuzi
98%
Kuridhika kwa wateja
๐Ÿš€ NI RAHISI KAMAโ€ฆ

Hatua Tatu Kupata Mkopo

1

Jisajili

Jaza fomu fupi ya usajili kwa simu yako. Tunahitaji jina, namba ya NIDA, na biashara yako.

2

Omba Mkopo

Chagua kiasi na muda. Officer wetu atakuita ndani ya saa moja kwa mahojiano mafupi.

3

Pata Pesa

Baada ya idhini, pesa zinatumwa M-Pesa, Tigo Pesa, Airtel Money au benki yako.

๐Ÿ’ฐ BIDHAA ZA MIKOPO

Mikopo kwa Mahitaji Yako

๐Ÿ›๏ธ

Mkopo wa Biashara

Tsh 50,000 โ€“ 1,000,000
15% kwa mwezi
โšก

Mkopo wa Dharura

Tsh 50,000 โ€“ 500,000
10% kwa mwezi
๐Ÿง‘โ€๐Ÿคโ€๐Ÿง‘

Mkopo wa Kikundi

Tsh 100,000 โ€“ 5,000,000
10% kwa mwezi

Tayari kuanza?
Jisajili leo!

Wateja zaidi ya 10,000 wameamini HBS MICROFINANCE LIMITED. Jiunge nao leo.